Friday, October 7, 2011

MICHEZO: MPIRA WA MIGUU SWEDEN FINLAND 2-I!!

Jioni hii kulikuwa na mechi katio ya Sweden na Finland na Sweden imeshinda na mabao 2. na Finland 1. Mechi/mchezo ulichezwa nchini Finlanda. Hongera Sweden!!!!

12 comments:

sam mbogom said...

Nangojea siku,Sweden ina cheza na Tanzania,kombe la Dunia,sijuwi watu watapigwa talaka au Erik mwanao ataokowa jaazi kwa kuchezea upande wa tanzania(kwa mama).hongereni kwa ushindi. mimi nangojea siku England ina menyana naTanzania kombe la Dunia nitakaa pembeni na bakora!! huku nakunywa pombe zangu na supu ya makende ikiningoja.tukifungwa kwa hasira nachapa watu wote bakora na ningia jikoni nakomba mboga zote!!!? ndoto tu hizi.kaka S.

Yasinta Ngonyani said...

Hahahaaaaa!siku hiyo nakuambia itakuwa ....au tusema au tuombee mwanangu Erik aokoe jaazi kweli. Kaka Sam kaka Sam unachekesha kweli eti utakaa pembeni na bakora pia pombe na supu ya makende...hivi makende ni nini? unafikiri ukichapa mru ndo ushindi utarudi au...Lol....ndoto nzuri lakini!!

sam mbogom said...

Yasinta na wewe Makende si nisupu yetu ile iliyokuwa ya wiki.kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Oh! mimi naiita spenachi..aise kumbe haya ahsante!

Simon Kitururu said...

Yasinta hujui MAKENDE ni nini kweli? Kwani unafikiri nyumba ya mbegu za kiume inaitwaje?

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli Simon nilikuwa sijui kabisa..

Simon Kitururu said...

Makende ni (ashakum si matusi) ni KORODANI aka PUMBU bwana!
Na supu ya kende sasa hivi labda ndio utaelewa ni kwanini tamu kuliko yako ile ya spinachi!:-(

Yasinta Ngonyani said...

Haya bwana sasa nipo nanyi kaka mdogo na kaka mkubwa naona mnaipenda kweli hiyo supu...itabidi niwapikie...Kuna kitu nataka ....

Simon Kitururu said...

Kapulya acha matusi ,..UNATAKA nini?

Yasinta Ngonyani said...

Sio matusi ninaTAKA kukupa ujumbe wako...siwezi aaahh naacha ila ntafute ntakuambia:-(

Simon Kitururu said...

SUH sie wenye mawazo machafu wee acha tu! Basi ntakutafuta uninong'oneze chobisi baadaye!

Yasinta Ngonyani said...

Ntafurahi na kukushukuru...!!