Friday, October 21, 2011

Ijumaa ya leo inatupeleka mpaka Afrika kwetu sio kwingine bali ni Botswana na kipande hiki


Jionee mwenyewe burudani iliyomo katika nyimbo hii yaa Tsabana kutoka katika kundi mahiri la Makhirikhiri la nchini Botswana, ambalo kwasasa bado lipo nchini likiendelea kukonga nyonyo za wapenzi wa burudani. Kwa sababu hii kwa mimi inanikumbukumba LIZOMBE sijui wewe mwenzangu. Afrika ni Afrika na mimi ninapensa sana mambo ya asili.

7 comments:

sam mbogo said...

Da Yasinta,hawa jamaaa na wahusudu sana tu. muziki wao nirahisi na unavutia kusikiliza.uchezaji wao pia ni kabambe. ila kama bado mpakaleo wapo Tanzania ninashaka na nini watakuwa wakifanya,kama ni manesho siyasikii. kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Kaka S. Mimi nilikuwa siwajui ndo nimewastukia ...na kama unavyojua ngoma za asili nazipenda sana..halafu umestukia wanavyochukua stepu kwa maringo mpaka raha. Naona homa mpaka imetoka na nipo hapa nacheza nao...LOL

ray njau said...

Kutoka barani Afrika!!!!

sam mbogo said...

Nikweli,bwana raynjau,hawajamaa hizo movement zao ni safi kabisa zinakufanya usichoke kuwaangalia.pia waimba vizuri sanaa.kwa karibu muzikiwao unafanana na ngoma ya mganda hasa jinsi wanavyo chezesha miguu,na mikono.tisa kumi ni hao wadada kama vile wameonewa wametulia,na wazuri hasa hako kenye mwili mdogo!! Yasinta ngoma za asili ukicheza ni tiba tena umeniongezea pointi kuna kitu nafanya katika taaluma yangu kuhusu dance.(asante) vipi hali lakini naona uko bomba sasa. jioni njema /usiku mwema. kaka s

Rachel Siwa said...

Ahsante kwa kibao muruwaaaa!!!!!

chib said...

:-))
Weekend njema

Anonymous said...

sasa hivi hawapo dar wameondoka siku nyingi lakini cheza yao ni bab kubwa tudumishe mila na utamaduni wetu