Kaka mkubwa ni kweli kakari, lakini mweeh. Halafu kweli ni fundisho sana kwa wazazi pia inabidi sisi wazazi tuwaelimisha watoto wetu mapema kwa mammbo kama haya dunia ya sasa si kama ya zamani.
4 “Sikiliza, Ee Israeli: Yehova Mungu wetu ni Yehova mmoja. 5 Nawe lazima umpende Yehova Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa nafsi yako yote na kwa nguvu zako zote. 6 Na maneno haya ninayokuamuru leo lazima yawe moyoni mwako; 7 nawe uyakazie kwa mwana wako na kuyasema unapoketi katika nyumba yako na unapotembea barabarani na unapolala na unapoamka. 8 Nawe uyafunge kama ishara kwenye mkono wako, na yawe kama utepe wa kipaji katikati ya macho yako; 9 nawe uyaandike juu ya miimo ya mlango wa nyumba yako na juu ya malango yako._Kumbukumbu la Torati 6:4-9
3 comments:
Mzee amekiri: vizuri sana. Wacha basi tuachilie vyombo vya dola kufuatilia suala hili.
Kwa sisi wazazi ni fundisho kutoacha watoto wetu wakitangatanga pamoja na watu tusiejuwa tabia zao.

Post a Comment