Friday, October 14, 2011

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO:- UPENDO HUWEZA!!

Upendo /mapenzi ni kama maji tu ambayo yawezayo kuizima kiu ya moyo!!! IJUMAA NJEMA WAPENDWA!!

4 comments:

sam mbogo said...

asante kwa ujumbe,na wewe ijumaa njema. kaka S

Mija Shija Sayi said...

Asante mwanafalsafa wangu...

Simon Kitururu said...

Ujumbe Mwanana Da Yasinta!
Nakutakia Jumamosi Kibonge mtu wangu!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

mh hata nanilii huweza kuacha kukutekenya kama uko katika upendo