Thursday, October 27, 2011

UJUMBE WA LEO UKUTOKAO KWA KAPULYA NI HUU HAPA!!!

Ndoto zetu zote zinaweza kutimizwa ikiwa tutakuwa na ujasiri wa kutimizwa.

Ngoja Kaka Sam amalizie na wimbo huuu...


ALHAMIS NJEMA JAMANI NA TUSISAHAU KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JEMA NA KILA SEKUNDE ATUPAYE NA KILA ATUJALIALO.

5 comments:

sam mbogo said...

Safiiiiii sana,SAM. ujumbe umefika,Yasinta aksante. kaka s

Yasinta Ngonyani said...

kama ujumbe umefika ni furaha kwangu. Naona leo umefurahi zaidi kwa vile huyu SAM ni wajina wako ...LOL

sam mbogo said...

umejuwaje!!? napenda sana muziki ila siyo kuwa mwanamuziki. na akina Sam wengi tu niwanamuziki wazuri tu. kulatano! safi.kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Nimegundua kwa vili umaandika hiyo sam kwa herufi kumbwa SAM... Lakini pia inawezekana sio jina moja.. Mie pia nimependa mziki pia maneno.

Salehe Msanda said...

Zaidi ya ujasiri kunatakiwa kuwa na utayari kuthubutu na kutenda kwa nia ya dhati.