Tuesday, May 15, 2012

NIMELIPENDA HILI VAZI NA NALITAKA...

...Si mnajua kijani...naipenda mno rangi hii . Yaani hapa Dada Jennifer Lopez duh! amemechisha kweli, ametoka chicha...

12 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Haya ntakutumia kwa sms! Teh teh

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chacha! Nasubiri kwa hamu kweli maana naitaka kweli najua ni rangi zangu hizo.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Ha hahhah hhaaa! Haya

Rachel Siwa said...

Kapendeza sana, nawe utapendeza, na ukilipata tuwekee picha hapa!!!Ubarikiwe zaidiiiii

kokusimah said...

Ntakusaidia pia kulitafta nami nimelitaka ila uombe ziwepo mbili manake kama ni moja nitajiwahi

John Mwaipopo said...

fasheni kwa sisis wengine imetupita kando. mimi kwa mfano huwa nadhani ni jambo la wamama. mie ilimradi nimetupia kipande cha nguo kufunika utupu inatosha.

Mija Shija Sayi said...

Yasinta unasema kweli?

Mija Shija Sayi said...

Yasinta unasema kweli?

Yasinta Ngonyani said...

Chaha! Mbona unacheka vipi?

Rachel! Ahsante sana na wala usikonde nikipata mtaona tu:-) Ubarikiwe nawe pia.
ngaizaskids!! kwanza karibu sana katika kibaraza hiki. Ntashukuru kwa msaada ila usiniangushe ukawahi mwenyewe..LOL

Kaka John! hata mie sio mtu wa fasheni ila tu vazi hili nimelipenda mno..nadhani hiyo rangi ya suruali:-)

Mija! kweli kabisaaaaaaa...si unajua hiyo rangi kama vile nilivyovaa ile picha ya kimasai:-)

kokusimah said...

Asante kunikaribusha ila nshakaribia zaaamaani kule kwenye mikoba ugonjwa wangu lol! Kizuri kianzie kwako natafsiri msemo wa kihaya. So tukipata mbili umepata

Yasinta Ngonyani said...

Oh! kumbe haya basi karibu sana na sana...mikoba:-)

ray njau said...

Sawa tumekusikia binti yetu.