Saturday, September 24, 2011

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO!!!

Binadamu ni kama baisikeli, ikisimama inaanguka chini.
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA BINAFSI ITAISHIA KWENYE MAJUKUMU:-(

5 comments:

Simon Kitururu said...

Jumamosi njema kwako pia Kapulya!

ISSACK CHE JIAH said...

asante nasi tutakuwa na majukumu hayo hayo unajuwa huku kwetu ndo siku ya minuso ,yaani maharusi ni kama kawaida jumamosi miesi hii ni kama kule mitaa ya lundo na litembo miezi au muda huu ndo wakati wake hata mbogo kaka yako anajuwa na rafiki yangu komba kaondoka juzi kaenda chipole kuna harusi leo hii
pole kapulya hayatasimama majukumu kwani yakisimama ni kama ulivyosema ni baiskeli yataanguka tuu na yakianguka ndo haupo tena chini ya jua bye
CHe jiah

Baraka Chibiriti said...

Asante sana dada Yasinta, nawe pia na familia yako kwa ujumla nawatakieni J1 njema!
Pia majukumu mema sana.

ray njau said...

Ujumbe maridhawa ndani ya wikiendi maridhawa na salamu za upendo mchanganfu kutoka pembezoni mwa bahari ya hindi.
===================================
"Ninajua vema, Ee Yehova, kwamba njia ya mtu wa udongo haimo katika uwezo wake. Mwanadamu anayetembea hana uwezo wa kuongoza hatua yake._Yeremia 10:23".
==================================

Simon Kitururu said...

Sijui nimefikiria sana kwa kuwa ghafla SIELEWi tena UJUMBE huu wa leo!:-(