
Kuna wagombea watatu wenye kuchuana vikali Igunga; Dr Peter Kafumu ( CCM), Leopard Mahona ( CUF) na Joseph Kashindye ( CHADEMA). Blogu yako ya Jamii Shirikishwa, Mjengwablog, imekuandalia Pima- Maji ili utoe maoni yako kwa kupiga kura. Zimebaki siku sita za kupiga kura. Swali ni hili; Je, ni nani ataibuka kidedea Igunga? Piga kura juu kulia kwenye http://mjengwa.blogspot.com
2 comments:
CCM,itaibuka mshindi(nikiwa na maana mgombea wao)
kaka S
Pima-maji yenyewe ina walakini, matokeo yanaonesha Chadema wanaongoza lakini mwandishi anatoa maoni yake binafsi kwamba CCM itashinda! sasa kuna haja gani ya kupiga kura kama matokeo tayari yako mezani.
Post a Comment