Friday, September 23, 2011

IJUMAA YA LEO INATUFIKISHA MPAKA HUKO UNGONINI YAANI NA NGOMA YAO YA ASILI LIZOMBE..


Hii nadhai wote tumewahi kuisikia..Sasa leo bwana katika kukumbuka kunyumba/nyumbani nikakutana na .....


....hawa kaka zangu hapa wakiienzi NGOMA hiiiYA LIZOMBE kwa kweli nimefurahi sana tena mno...ingekuwa ni hapa niishipo ningeungana nanyi na tungeanzisha kikundi chetu na kuvuta watu wengi..HONGERA SANA NA ENDELEENI NA MOYO WA KUENZI NGOMA ZETU ZA ASILI. IJUMAA NJEMA KWA WOTE....YAANI WE ACHA TU...

6 comments:

sam mbogo said...

wangoni bwanaaa kazi ipo mweeee!!.
wanapotaka nihapo tu? Yasinta wapi? kakas.

Yasinta Ngonyani said...

Wewe kaka S. nawe...hapo hapo...na huu je ibesa mawu ibesa dadi wagosi wa mundila ibesa....Najua wngoni kiboko...mpaka ugimbi umalikayi ...

Rachel Siwa said...

Anapopenda ni hapo tuu anapotaka nihapo tuuu, da'Yasinta umenikumbusha mbali sana ,kwenye harusi ya mdogo wangu anayenifuata, mawifi waliingia na wimbo huo, anapopenda kaka nihapo tuuuuu!!!!!

Simon Kitururu said...

Ijumaa njema kwako pia MDADA!

Anonymous said...

Wewe kaka Ray nawe...hapo hapo...na huu je ibesa mawu ibesa dadi wagosi wa mundila ibesa....Najua wngoni kiboko...mpaka ugimbi umalikayi...
===================================
Jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili.Vingi vyaweza kubadilishwa lakini kabila............?Hongera sana kwa kuendelea kuenzi asili yako na watu wako ukiwa ughaibuni.Hii ni changamoto kwa wote waliopata fursa njema ya kunusa ughaibuni wakumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani japo ni pangoni.Wiekiendi njema kwa wadau wote na daima kamilisha wikiendi yako kwa "lizombe ngoma"kutoka Ruhuwiko Mkoani Ruvuma.

EDNA said...

wacha wee kama nakuona unavyolisakata rumba.Ijumaa njema.