Mdada akiwa Silver Sands
Mungu nakuomba unisaidie niwakumbuke wenye njaa ninapokuwa na chakula, wagonjwa nianpokuwa na afya nzuri, wote wanaoteseka kwa sababu ya vita ninapokuwa na amani, wasio na nyumba ninapokuwa nimelala na pia kuwa ndani ya nyumba yenye joto, pia nakuomba unisaidia niwakumbuke yatima kila ninapokuwa na wazazi wangu.Na pia nakuomba:Bikira Maria mama wa msaada na uibariki familia yangu, kaka zangu, dada zangu, wazazi wangu na watu wote dunia hii katika dhambi: AMINA
Tumalizie kwa wimbo huu kwa ajili ya maombolezo ya wenzetu waliotutangulia ..NJIA YETU NI MOJA...
3 comments:
Jumapili njema kwako pia MDADA!
Asante sana Dada Yasinta, nawe pia na familia yako kwa ujumla....J2 njema sana!
Simon! Ahsante nimechelewa kujibu kwa ajili ya mikikimikiki:-(
Kaka Baraka! Nawe nakushukuru sana kuwa kututakia jumapili njema pia pole kwa kuchelewa kujibu
Post a Comment