Tuesday, February 28, 2012

UJUMBE WA LEO!/AU NISEME NI WAZO!!

Ndo ndo ndo si chu ru ru; Ni kwamba ukiwa mwenye ndo ndo ndo au chu ru ru, si jambo la busara kubughudhi au kujigamba mbele ya wenzako. Kwa sababu hayo yote yanategemea uwezo wa Mungu. Na ndiyo tofauti iliyoko katika maisha

4 comments:

SIMON KITURURU said...

Kweli kabisa Da Yasinta!

ray njau said...

Hapa mwandishi ana wazo lake lakini hajaliweka hadharani kutokana na kutumia lugha ya mficho.Itakuwa vema zaidi iwapo ataidadavua mada hii kwa mapana yake kwa manufaa ya wadau wa kibaraza cha maisha na mafanikio.

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante kwa ujumbe mzuri da'Yasinta!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni wote kwa kupita hapa na kuacha lenu neno. Pia ahsante kwa wate waliopita hapa.