Tuesday, February 28, 2012

JINSI JANA ILIVYOKUWA MJINI SONGEA:-SHEREHE ZA KUMBUKUMBU ZA MASHUJAA WETU!!!

Hapa ni baadhi ya wazee wa kingoni wakiwa wamevaa mavazi wakionyesha mfano JINSI MACHIFU WA KINGONI walikuwa wakivaa wakati wa ukoloni, kkabla ya vita vya majimaji. Hapa ni jana ilipokuwa sherehe hii ya kumbukumbu za mashujaa mjini Songea.

4 comments:

Rachel Siwa said...

Ahsante kwakutushirikisha da'Yasinta

Mija Shija Sayi said...

Yasinta kama unafahamu maana ya rangi ya hizo nguo walizovaa twaomba utujulishe...

Mashujaa oyeeee!!

ray njau said...

Hii ni sehemu ya historia ya Tanzania.Asante sana mwandishi wetu Yasinta Ngonyani-Klaesson.

Yasinta Ngonyani said...

Da´Rachel! unajua katika maisha kila kitu ulichonacho /unachopata, pale upatapo muda basi mgawia na mwenzako...Kushirikishana ni muhimu na uchoyo wa elimu si mzuri..kwani ukimpa mwenzako nawe utapata usilolijua...faida eeehh!!

Mija! wewe nawe unataka kuwa kapulya au?..LOL Haya ngoja nitafanyia kazi hili swali lako.

Kaka Ray!!Ni Historia kubwa sana ambayo inabidi kila mtu aijue. Polepole tutafika tu!!