Friday, February 24, 2012

MVUA KUBWA YASABABISHA MAFURIKO MJINI IRINGA LEO

Hapa ni eneo la Zebra ambako mafuriko yameibuka katika maduka ya watu. Habari zaidi hapa.

2 comments:

ray njau said...

Hizi ndizo athari za miundo mbinu isiyokithi matarajio ya walengwa.

Yasinta Ngonyani said...

Sasa hapa alaumiwe nani?