Friday, February 17, 2012

TUSISAHAU HISTORIA ZETU/MAKUMBUSHO NA UASILI WETU!!!


IJUMAA NJEMA KWA WOTE!!!!

6 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante sana da'Yasinta wakitu hiki cha BWGA MOYO!!!!Duhh umenikumbusha mbaaaaaali sana!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Rachel! unajua haya mambo ya makumbusho,sisi wenyewe waTanzania hata hatujui kama yapo watu wa nje ndo wanakuja kujua haya inanisikitisha sana kwa uvivu tulionao waTZ....Nimekukumbusha nini?

chib said...

Makumbusho mengine yametelekezwa, na mengine zaidi yanabomolewa kujenga vitu vingine!

Rachel siwa Isaac said...

Nikweli kabisa da'Yasinta,kwetu kuna mambo mengi sana ya kujifunza na kujivunia, duuhh lakini wenyewe hatuyafuatilii wala kujifunza kupia hayo.Dada kwa wajomba/bibi mzaa mama alitokea hapo M'PWANI yakheee, huko yakhee' Chai kwa Samaki@!Tehtehtehteh nitakuwekea picha yake siku, na ukienda bongo ukamsalime,anakiswahili kirefu huyo hehehhe!!

SIMON KITURURU said...

Asante kwa hili!

Ester Ulaya said...

dah, umenikumbusha bwagamoyo, hasa hayo maeneo ya kale na utalii wete, athante thana