Monday, February 6, 2012

TUANZE JUMATATU/WIKI HII NA UJUMBE HUU!!!


Ahadi ni nyingi lakini utendaji ni kidogo....

3 comments:

ISSACK CHE JIAH said...

Dada kweli jumatatu ya leo ni mjema au unapiga kampeni 2015 asante sana ila kwakweli angalia sasa madokta mpaka leo wamegoma na habari za chini ya kapeti walimu nao muda si mrefu wangoma je tutafika na haya mambo?
jumatatu njema nami nasema tutakuchagua sisi wana blog uwe mtetezi ila usitoe ahadi hewa
CHe Jiah

ray njau said...

Hapa ni maswali mengi yanayohanikizwa na majibu yasiyokidhi kiu ya wadau.

sam mbogo said...

Ujumbe,wa huyu msanii,ni kabambe.mrisho nae amenogesha vilivyo.Mkuu issack che,unafikiri haya maandamano/migomo kweli haina mkono wa mtu? huwa nafuatilia sana siasa za bongo ila wakati mwingine unakuta wananchi wengi wana ongelewa matatizo yao,yawezekana hata hawa ma daktari pia ukakuta walio wengi mgomo hawakuafiki. tungoje tuone mwisho wake .kaka s.