Sunday, February 26, 2012

JUMAPILI NJEMA KWA WIMBO HUU ULIOCHAGULIWA NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO:-)


NAPENDA KUWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA SANA NA NAPENDA KUSEMA TUPENDANE DAIMA KWANI SISI WOTE NI WATOTO WA BABA MMOJA. aMANI YA BWANA NA IWE NANYI NA ITAWALE KATIKA KILA KAYA.!!!!KRISTU NI TUMAINI LETU.

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Ahsante sana da'Yasina,Iwe ya baraka kwenu pia.

ray njau said...

Agape to All!!

Yasinta Ngonyani said...

Da´Rachel na kaka Ray! Nimechelewa kidogo lakini ni vema kuwashukuruni kwa kuwa nami jumapili hii.