Sunday, February 12, 2012

NI JUMAPILI YA PILI YA MWEZI HUU NA TUSALI SALA HII!!!

Ee Mungu unifanya niwe chombo cha amani yako. Penye chuki nilete mapatano, penye kukata tamaa nilete matumaini, penye huzuni furaha, Amina
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!

5 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Amina!!nawe iwe njema pamoja na familia!

EDNA said...

Na wewe pia na familia yako.

Baraka Chibiriti said...

Hii ni sala nzuri sana, asante dada Yasinta. Nawe pia na Familia yako J2 Njema!

Salehe Msanda said...

Amina.
Umenikumbusha wimbo maarufu wa sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka mlima kilimanjaro
Kila la kheri.

Justine Magotti said...

good sms my dear