Saturday, September 29, 2012

ZILIPENDWA/JUMAMOSI NJEMA KWA WOTE

Blog ya Maisha na Mafanikio inapenda kuwatakia wote jumamosi njema. Pia nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kunilinda na kujalia afya njema. Pia kwa kuwalinda watu wote na kuwajalia afya njema na kuwapa watu nyoyo zenye huruma na mapendo.JUMAMOSI NJEMA NDUGU ZANGUNI!"!!

8 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Jumamosi iwe njema kwenu pia dada.

Yasinta Ngonyani said...

Dada Kachiki ubarikiwe sana na ahsante..

EDNA said...

Kwako pia mdada wangu.

Anonymous said...

nilisahau kupositi jana. asante kwa kutukumbuka jmosi,jpili njema .

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

ni zilipendwa pale tu unapojihisi KIJEBA ila kiukweli...Mt Simon atasema teh teh teh!

Ester Ulaya said...

huku kwetu ni salama kabisa......twaamini nanyi hamjambo

emu-three said...

Niulize kidogo, hiyo fasheni inaitwaje? J3 Njema ,natumai sijachelewa

Yasinta Ngonyani said...

Edna! Ahsante ndugu yangu ila wikienda yangu yote imeishia kubaba maboxi.

Kaka Goodluck! Ninaimani nawe ulikuwa na jumamosi njema.
Chaha! mmhh Sijui kama nimekupata hapa.
Ester Ni furaha kusikia huwa wote salama hata hapa ni salama.

emu-three! fasheni gani unayotaka kujua inaitwaje?
j3 njema kwako pia.