Wednesday, September 26, 2012

WAREMBO WA WIKI:- HIVI HAPA NI SARESARE AU??!!!


Jinsi bendera ya Tanzania inavyoveza kutukuzwa. Nimependa hii
Na hapa pia ..nimelipenda gauni hili kwanza ndefu, mtindo mzuri na linavutia. Swali wapi nitalipata kwani nimevutiwa sana nayo...

8 comments:

Ester Ulaya said...

kwakweli hata mimi nimeyapenda sana tuuuu......utayapata tu dada
mafundi wengi tuu

Yasinta Ngonyani said...

Dada Ester! Yaani hapo kwanza kabisa wanaitangaza bendera ya Taifa halafu yamewapendeza na mitindo ni bomba..hakika ntajitahidi kushona ..

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

muulize Da Mija ama?

safi sana aisee

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Chacha! kwa nini mmemchagua dada mkuu msaidizi Mija?

Rachel siwa Isaac said...

Hata mimi nimeyapenda,Dada mkuu msaidizi Mija ni Fundi@ ulikuwa hujajua dada Mkuu Kadala?

Emmanuel Mhagama said...

Dada zetu mngekuwa tayari kuvaa kwa mtindo huu, nawahakikishieni Mungu angelibariki Taifa hili kwa baraka zote za rohoni na za mwilini. AMANI KWENU.

Mija Shija Sayi said...

@Yasinta..Laiti ungewasikiliza Mzee Chacha na Rachel, ungekula mbivu hizi...

Yasinta Ngonyani said...

Dada mkuu msaidizi basi nitafanya hivyo ...