Sunday, September 2, 2012

HILI NDILO NENO LILILOCHAGULIWA NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KWA JUMAPILI HII YA LEO!!!

Katika maisha yangu  hakuna ZAWADI nilizozipata na ninazozithamini kama vitabu hivi viwili. Maana ni ndivyo vinavyoniongoza katika maisha yangu. Hicho cha kwanza ni MAANDIKO MATAKATIFU YA MUNGU YAITWAYO BIBLIA. Yaani Agano La Kale Na Agano Jipya. Hii nilipata kutoka kwa baba wa nyumba. Na hii ifuatayo ambayo ni HABARI NJEMA KWA WATU WOTE Ambayo ni AGANO JIPYA  kwa KISWAHILI CHA KISASA. Hii nilipewa na baba yangu mzazi . Haya ngoja tuangalie neno la leo:-

Kuna Mungu mmoja na baba wa wote ambaye yuko juu ya wote, afanye kazi katika yote na yupo katika yote. Waefeso 4:6.
JUMAPILI NJEMA KWA WOTE....ANMANI NA UPENDO VITAWALE NDANI YA MIOYO TETU DAIMA.

5 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Ameeen,Kadala.iwenawe kwako pamoja na familia.Pia Amani na Upendo kwa wooote wapitao hapa.

Asante sana.

Anonymous said...

Mungu akubariki sana kwa kulishika neno lake. Je unasoma Biblia kila siku? Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu na mwanga wa njia zetu. Ubarikiwe Yasinta.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki Ahsante sana..uwe na jumapili njema sana.

Usiye na jina hapo juu... Ahsante kwa baraka zako zimepokelewa..Ndiyo nasoma ila sio kila siku nisiwe mwongo.

emu-three said...

NA SASA JUMATATU NJEMA!

ray njau said...

Biblia
============
Mwandikaji wa Biblia
=============================
Je, Biblia Ni Kitabu Chenye Hekima ya Wanadamu?
Mtu anayeandika katika kitabu cha kukunjwa
Je, Biblia Ni Kitabu Kutoka kwa Mungu?
Mwanamume akijifunza Biblia
Je, Biblia Ni Kitabu cha Wazungu?
Waandikaji watatu wa Biblia
Je, Kweli Tunaweza Kujua Ni Nani Aliyeandika Biblia?
Mungu
Fumbo la utatu, Ufaransa
Je, Fundisho la Utatu Liko Katika Biblia?
Mtu anatazama nyota
Je, Mungu Ni Nguvu Zisizo na Utu?
Jina la Mungu katika Kiebrania
Je, Mungu Ana Jina?
Yesu akisali
Je, Jina la Mungu ni Yesu?
Yesu
Mwanamume akiandika katika kitabu cha kukunjwa
Masimulizi Yanayomhusu Yesu Yaliandikwa Lini?
Yesu afanya mambo mazuri, amponya mwanamume
Je, Yesu Alikuwa Mtu Mzuri tu?
Yesu akimtazama Mungu mbinguni
Kwa Nini Yesu Anaitwa Mwana wa Mungu?
Yesu
Je, Yesu ni Mungu Mweza Yote?
Familia
Mwanamume na mwanamke wakianza kuishi pamoja
Je, Ni Sawa Kuishi Pamoja Kabla ya Kufunga Ndoa?
Watu wa jinsia moja wakifunga ndoa
Biblia Inasema Nini Kuhusu Ndoa za Watu wa Jinsia Moja?
Wenzi wa ndoa wanaofikiria talaka
Je, Biblia Inaruhusu Talaka?
Mtoto ambaye hajazaliwa
Biblia Ina Maoni Gani Kuhusu Kutoa Mimba?
Kuteseka
Watu wanaoishi katika magofu ya majengo baada ya misiba
Je, Misiba ya Asili ni Adhabu Kutoka kwa Mungu?
Mwanamume akimsaidia mtu anayeteseka
Je, Mungu Ndiye wa Kulaumiwa kwa Sababu ya Kuteseka Kwetu?
Mkono wa Ibilisi ukishikilia dunia
Je, Ibilisi Ndiye Anayesababisha Kuteseka Kote?
Ufalme wa Mungu
Yesu Kristo akiwa ametawazwa kuwa mfalme wa Ufalme wa Mungu
Ufalme wa Mungu Ni Nini?
Mandhari ya Paradiso
Ufalme wa Mungu Utatimiza Nini?
Ndege ya vita
Amani Duniani—Kwa Nini Haipatikani?
Maswali Makuu

Je, Misiba ya Asili ni Adhabu Kutoka kwa Mungu?
Je, Kweli Tunaweza Kujua Ni Nani Aliyeandika Biblia?
Je, Fundisho la Utatu Liko Katika Biblia?
Je, Yesu Alikuwa Mtu Mzuri tu?
Je, Biblia Inaruhusu Talaka?