Wednesday, September 26, 2012

UWANJA WA MPIRA MAJIMAJI SONGEA KWA NJE UPANDE WA KULIA KARIBU NA JENGO LA POLISI...!!!

Nimeona tutembelee Songea mjini leo kwani siku nyingi  zimepita. Kila la kheri....

4 comments:

emu-three said...

TUPO PAMOJA NDUGU WANGU, MAMBO BADO SI MAMBO, LKN TUPO PAMOJA

Yasinta Ngonyani said...

em-three! naamini tupo pamoja na pia nakutakia hayo mambomambo yawe mambo,PAMOJA DAIMA...

Rachel siwa Isaac said...

Umeshakumbuka Nyumbani Kadalaaaaaaa!!

Emmanuel Mhagama said...

Mmmh, hii ilikuwa lini. Inawezekana ni siku nyingine sana. Maana nimepita jana hapo ni timbwili timbwili kwa kwenda mbele. Nashangaa hakuna hata watu, sijui ilikuwaje!!