Thursday, September 13, 2012

TUMALIZE SIKU HII KWA PICHA HIZI:- SARESARE MAUA ASIYEJUA KUCHAGUA ....!!!

 Sehemu fulani Jamaica
Je unamjua huyu?
Nimezipenda hizi picha na nimeona ziwe picha za wiki hii. Rangi za mavazi ni rangi ambazo nazipendaaaaaaaa sana. Hakika ukijipenda mwenyewe basi na wengine watakupenda!!

Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaa.
4 comments:

Fadhy Mtanga said...

Aisee! Nahisi mmojawapo namfahamu. Da Yasinta wewe!

Yasinta Ngonyani said...

Mtani Fadhy! Mbona hujasema huyo mmojawapo unayemfahamu ni nani?

ray njau said...

@Yasiii!!!
Hakika picha hizi zinastahili kuwa picha za wiki hii.Rangi za mavazi ni rangi zake zinapendeza sana. Hakika ukijua raha ya kujipenda mwenyewe basi na wengine watakupenda,kukustahi na kuheshimu maadili,mitazamo,misimamo na matarajio yako ya sasa na baadae.
SALAMU!!

emu-three said...

tupo pamoja, nipo mapumziko kidogo