Wednesday, August 1, 2012

HIVI HAPA NI SARESARE AU??? VITENGE NI VIZURI JAMANI

Kapulya na sketi yake ambayo imekuwa kauka nikuvee:-) naipenda sana...
 Naye huyu sijui ni sketi au gauni? nimeipenda hii picha/vazi hili...Ila duh! huyu mwenzangu mrefu sijui kavaa mchuchumio/raizoni;.)???

5 comments:

emuthree said...

Wanawake na mavazi ,wanaume na nini vile?

ray njau said...

Wanawake na maendeleo.............!!!!!

Unknown said...

Duh majina ya hzo pamba nimezipenda.

Interestedtips said...

yaani hapo ni kama mnaimba Bam Bam kwaya, ukiangalia haraka utasema ni kimoja mmegawania, nimevipenda, vitenge vizuri sanaa

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii kwa kuwashukuruni wote kwa kuwa nami hapa kibarazani kwa kunitia moyo.