Saturday, August 18, 2012

NA HAPA NI BAADHI YA MAVUNO YANGU NILIYOANZA KUVUNA BOGA:-)

Leo nimevuna boga kweli atafutaye na hupata...hili litakuwa mlo wa jioni ya leo...karibuni mjumuike nasi...

4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Hakika da'Kadala atafutaye hupata.
Yaani mpaka BOGA!!!
Uwiii unanitamanisha saana.
Ngoja nitafute Likizo kabla mavuno hayajaisha mweehh,Hongera sana sana dada Kadala!!!

EDNA said...

Du hilo boga limenitamanisha...hongera kwa kazi nzuri.

Penina Simon said...

Hongera, jitihada zako nimeziona, nakupenda ulivyo na pia, the way ulivyo busy na pia husahau asili. i real loe u baby.
Napenda na naomba unionjeshe kidogo picha baada ya kulipika lilisindikizwa na nini na lilikaaje mezani plz,


Yasinta Ngonyani said...

Kachiki...yaani usichelewe kutafuta hiyo LIKIZO utakata nimeshavuna na mimi nataka msaada wako.Ndiyo mpaka BOGA..nimepata..

Edna! pole kwa kutamani ila karibu sana kuja kula..Na Edna Ahsante kwa hongera zimepokelewa mikono miwili..

Dada P! wala usikonde likipikwa na kuwekwa mezani utaliona niambia unataka lisindikizwe na nini na nitaandaa kama nina vifaa.