Sunday, August 12, 2012

SALA YA LEO NI KUWAOMBEA WATU WOTE DUNIANI!!!Salam Maria, umejaa neema, Bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote, na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Maria Mtakatifu mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu. Amina. JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGUNI NA WOTE MNAPENDWA!!!!

3 comments:

emu-three said...

Jumatauu njema ndugu wangu

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ndugu wangu nawe uwe na jumatatu njema sana. Pamoja daima

Mija Shija Sayi said...

Asante kwa sala... na ubarikiwe sana dada mkuu.