Monday, August 13, 2012

TUANZE JUMATATU HII NA PICHA HII YA WAREMBO WA KINGONI!!!

Picha:- Ni ya wanawake wa KINGONI (mzimba) hapa ni mapema miaka ya 1900.... Nimeipenda picha hii maana inaonyesha jinsi wanawake  hawa wanavyojali urembo wa asili ebu watazame...inavutia kwa kweli. JUMATATU NJEMA...

11 comments:

Ester Ulaya said...

Natamani siku moja nivae hivyoooo

Yasinta Ngonyani said...

Ester! ni kuamua tu, halafu nshakuona katika mavazi hayo kikuwaza unapendeza kweli....

Mija Shija Sayi said...

Safi saaaana hii...

ray njau said...

Kila zama na waja wake.

Yasinta Ngonyani said...

Dada mkuu saidizi/Mija! Yaani saaaafi mno nimeipenda sana.

Kaka wangu Ray! Umenena!

emu-three said...

Nawaza kama haya mashindano ya urembo yangeligawanywa,;

Mfanoo wanasema Mrembo wa asili ni....
Halafu mrembo wa kuchakachua ni.

Kitu kama hicho, huyo mrembo wa asili wasijali maumbile, hata akiwa bonge bonge sio mbaya, su vipi!

simbadeo said...

Picha nzuri sana. Warembo hao ni kiboko. Huo ndiyo urembo unaotakiwa. Tuachane na wa siku hizi ambao ni wa kuchakachua ... Asante sana kwa taswira hiyo.

ray njau said...

Hapa udhamini wa kibiashara ndiyo unatawala mioyoni mwa watu na siyo uasilia wa jambo husika.

Ester Ulaya said...

Soon nitayatinga....kweli ukiamua kitu unazuka tu

Rachel siwa Isaac said...

Ndugu wa mimi Emu wa 3!naungana nawe kabisaaaaaa.
da'Kadala kumbe wangoni Urembo mmeanza kitambo tuu!!!

Yasinta Ngonyani said...

EMU3!Yangagawanywa kihivyo tungesema mengi ila basi tu...
Kaka Simbadeo!! umenifanya nitabasamu kuchakachua ..halafu sasa si akina dada tu hata akina kaka siku hizi...kaaaazi kwelikweli

kaka Ray! Umenena ila bahati mbaya kila kitu siku hizi ni biashara..pia bahati mbaya kwetu kama tungefuata vya asili haingekuwa hivi..
Ester!!Nitakuunga mkono ili usiwe peke yako:-)
Kachiki ! kumbe ulifikiri tumeanza juzi tu hapana akina bibi walianza nasi twaendeleza:-) Safi eeehh!!