Friday, August 10, 2012

TUANZE MWISHO WA JUMA NA WIMBO HUU:- NAKUPENDA


NAWATAKIENI WOTE IJUMAA NJEMA NA WOTE MNAPENDWA!!!!

4 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

aksante kwa wimbo murua...umefanya siku yangu na weekend yangu iwe njema kabsaaa!

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha kusikia umeupenda wimbo huu na unakufanya uwe na mwisho wa wiki mwema kabisa...haya furahia:-)

EDNA said...

Ijumaa njema mdada

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Edna nawe pia!