Monday, August 20, 2012

TUIANZE WIKI/JUMATATU HII NA:- CHEMSHA BONGO KIDOGO!!!

Ni hivi:- Baba mmoja alikuwa na mabinti 6/sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je? baba huyu alikuwa na watoto wangapi ?
NAWATAKIENI WOTE MWANZO MWEMA WA JUMA HILI!!!!

9 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

kwa mila za kikwetu kuwa na watoto 7 ni laana ha ha ha ha ha haaaaaa! hivo mzazi akifikisha watoto saba hujibidisha awe na mmoja wa ziada ili wawe 8 ama 6

anyway, alikuwa na watoto 7 tu...kivulana cha mbegu kimoja tu!

John Mwaipopo said...

7

yasin mbele said...

wale wazoefu wa kuingia chaka jibu wanalo

Godlisten Silvan said...

7 ndugu tumepata au tumekosea?

Yasinta Ngonyani said...

Wote Tsubiri kidogo na wala msikonde..kaka John ulikuwa kimya ni furaha kuwa upo nasi .Yasin Mbele! karibu sana kibarazani..nawe kaka Silvan ulikuwa umepotea karibu tena

Sara Chitunda said...

Nashukuru kwa chemsha bongo hii alikuwa na watoto kumi na mbili (12) siku njema

John Mwaipopo said...

dada mkuu yasinta bado kidogo nitarejea

Yasinta Ngonyani said...

dada Sara jibu karibu litakuja...

Kaka Mkuu John Nakusubiri chukua muda uutakao ila usikawie...

costatin deusi said...

Makubwa