Thursday, August 9, 2012

NIPENDAVYO MSIMU HUU WA JOTO NI KAMA HIVI KWENDA MSTUNI NA KUPATA VITU KAMA HIVI!!!

 Hapa ni blåbär/ blueberries kwa kiswahili sijui zinaitwaje anayejua naomba mnisaidie...Basi leo jioni yangu ndo imesiha hivi kwenda mstuni kuchuma ..bluberries unaweza kula kama zilivyo,kula na maziwa, kutengeza keki, kutengeneza kinywaji, kutengeza jam/jelly...nk. ..Halafu nikakutana na ugonjwa wangu.......
...UYOGA..Hakika nikiwa mstuni kuchuma/kutafuta uyoga hakuna mtu anaweza kunipita...nakuwa mawazo yote ni uyoga tu na leo nimepata lita 2...nadhani utakuwa mlo wa jioni hii. Kitu kimoja nipenda wakati huu wa joto hapa ni mambo haya kwenda mstuni na kupata vitu freshi kabisa ...kama NYUMBANI...KARIBUNI TUJUMUIKE....

6 comments:

Rachel siwa Isaac said...

duuhh aani hapo kuna msitu na kupata Uyoga.. wa bureeee.Da'Kadala nasikia kuna Uyoga mwingine ni sumu.

Jioni njema nami natafuta Ungo wangu nije kula!!

Ester Ulaya said...

jamani jamani...hapo kwenye uyoga umenimaliza kabisaaaa, naupenda mie huoo

Rehema said...

Kamwali ngowani yingi makoko uvyayi makini. Hinu yeniyo ngowani kiki ulundi,unguyugu au ulelema?

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki! ungejua kulivyo na misitu usingesema...yaaani uyoga wa bureee sitoe hata senti tano..na najua ni aina gani ni sumu usiwe na wasiwasi..huo ungo hauna mafuta tangu jana jioni mpaja muda huu upo wapi?

Ester! uyoga ni ugonjwa wangu pia pole kwa kuumia ila KARIBU...

Rehema mlongo! Nivi makini sana nayava lepi makoko..ngowani hiyi UNGUYUGU...BWELA TILYAYI...

ray njau said...

@Kadala hongera kwa kudumisa mila ile wengine nasindwa kapisa.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ahsante sana hakuna kitu kizuri kama kuchuma uyoga kwa mikono yako na kufika nyumbani kuuchumbua na kuupika na kisha kuula...na hapo ndipo utakapo ona raha yake:-)