Monday, August 6, 2012

TUIMALIZE JUMATATU HII KWA WIMBO HUU: LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA....BOMBI KWELIKWELI


Nimeipenda wimbo huu na nimeona nisicheze peke yangu JIONI N JEMA. EEEH, EEEHH KIGOMAAA LEKA DUTIGITE...Duh! nipo hoi hapa:-)

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Nimeupenda wimbo huu mno hasa pale wasemapo kigoma inasonga mbele..nami nitatunga wimbo kuhusu Songea..LOL..nawaonea wivu wakazi wa Kigoma..ningekuwa muha ningejivuna zaidi..