Thursday, August 2, 2012

PICHA YA WIKI:- KUNA UBAYA GANI???

Wote ni akina mama yupi bora?

7 comments:

Ester Ulaya said...

kwa hao wawili bora huyo mama wa upande wa kushoto, kamkumbatia mwanae vizuriiiiiiiii

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Wote bora tu...lol

NN Mhango said...

Wote ni mama bora sema tofauti ni kiwango cha akili na teknolojia.

batamwa said...

bora ni mama wa kushoto yeye anahuruma zaidi na upendo au kwavile ni wa jamii ya akina Ngonyani!!!??

ray njau said...

Ni nani kama mama na mama dhahabu isiyoisha thamani.Kila mtu hulia mama yangu au yarabi nafsi yangu.Kukumbatia na kutoa mazoezi yote malezi kutoka kwa mama.Baraka ziifikie matiti tuliyonyonya na mikono salama iliyotulea.

Yasinta Ngonyani said...

Ester kweli hata mie naona ni bora huyo wa kushoto...anaonyesha upendo...

Chacha!! sikupingi ..

Mwal. Mhango! Ulichonena inawezekana ni kweli kabisa..Lakini nyani ana akili kuliko binadamu kweli?

batamwa! Haha haaaaa nimecheka kweli "Eti kwavile ni wa jamii ya akina Ngonyani!!!??" hapa sina jibu kwa kweli

Ray! Nimeppenda ulivyosema "Kila mtu hulia mama yangu au yarabi nafsi yangu" hivi kwanini hatusemi baba wee au baba yangu?

batamwa said...

ndio tunasema mama kwa vile mama ni mamayako kweli kakutoa tumboni mwake,hata sisi kwetu ukiwa unajigamba unatambia ukoo wa mama yako