Monday, July 16, 2012

TUANZE JUMATATU HII NA SALAMU/UJUMBE HUU!!!

Kuna vitu viwili mtu anaweza akafanya katika kuutafuta ukweli.
Ni:- Kutokuwa mkweli/kusema kitu moja kwa moja na kushindwa kuanza.....
JUMATATU NJEMA....

4 comments:

sam mbogo said...

Katika maisha tuishio kusema ukweli au msema ukweli ni kazi sana kuwapata kwa asilimia mia.katika mazingira ya kutafuta ukweli maranyingi mtafutaji anakuwa na ajenda yake juu ya ukweli huo autafutao na kama binaadamu kuna kuvutia au kuegemea upande fulani,na mwisho ukwli wako kwa mwingine inakuwa nisumu.kaka s.

Rachel siwa Isaac said...

Asante kwa Ujumbe da'Kadala,j'3 njema nawe na familia.

Rachel siwa Isaac said...

Asante Bisikuti yangu kaka Sam mwana wa mbogo!!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam! Ahsante kwa kupita hapa na ulichosema ni kweli...
Kachika usengili..namshukuru Mungu J3 imeanza vema na itaishia kwenye kubeba maboxi
Kachiki kwa bwewe du sikuwezi...LOL