Sunday, July 1, 2012

NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWEZI HUU WA SABA:- NAMI NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA!!!!

Kazi ndiyo msingi wa maisha. Maendeleo yanaletwa kwa kufanya kazi. Tujenge tabia ya kujiajiri kama ndugu huyu, badala ya kujibweteka na kushinda vijiweni.
JUMAPILI NJEMA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU NA ZITAWALE NDANI YA NYUMBA ZENU!!!

5 comments:

Ester Ulaya said...

NAWE PIA JUMAPILI NJEMA, ASANTE SANA

Anonymous said...

Na wewe jumapili njema naomba email yako I want to ask a question.mama T

Yasinta Ngonyani said...

Ester! asante jumapili yangu ilikuwa nzuri kwani nilikuwa mpirani kijana wangu alikuwa na mechi!

Usiye na jina Ahsante pia!!

ray njau said...

Kwa shangwe na furaha pokeeni salamu zangu!!

Salehe Msanda said...

Kwa sisi watanzania bado tunaamini kazi ni lazima iwe ya kuajiriwa katika ofisi(white color job) Kinyume chake inaonekana kama unafanya kazi za kitwana. Iko haja ya kurudia historia ya babu zetu walioweka utaratibu wa kuwa na elim ya kurithishana majukumu kwa kila rika. (Informal education) ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni ya vitendo na uhalisia wa mambo.
Kwa pamoja tuhimize watanzania wapende na wajenge utamaduni wa kupenda kazi ,kusoma na kujifunza.
kila la kheri