Friday, July 20, 2012

MSIONE UKIMYA .....NIPO KIAINA!!!

Habari za siku mbili/tatu jamani ndugu zanguni. Nimeona nikate ukimya nipo....Kesho nitawasimulia nini kisa cha kuwa kimya...IJUMAA NJEMA!!

7 comments:

Giancarlo said...

Un caloroso saluto...ciao

Yasinta Ngonyani said...

Giancarlo! muchas gracias.

ray njau said...

Kimya kingi kina mshindo au ukimuona kobe kajiinamia anatunga sheria?Je ukiamka asubuhi ukatoka nje na kumuona kobe juu ya mti utapiga kelele au utanyamaza?

Ester Ulaya said...

SAWA DADA TWASUBIRI KWA HAMU

Ester Ulaya said...

SAWA DADA TWASUBIRI KWA HAMU

Yasinta Ngonyani said...

Ray! mimi ntapiga kelele kwa kweli maana itakuwa mara ya kwanza kumwona kobe juu ya mti.

Ester! Nimekuelewa na wala usikonde:-) ipo jikoni

ray njau said...

Kupiga kelele ni fujo na siyo suluhisho wala hitimisho la kila changamoto katika mchaato wa maisha na mafanikio@Yasinta!