Thursday, July 12, 2012

NYUMBA ZA ASILI...NYUMBANI NI NYUMBANI!!!!

 KITU GOROFA SIO MPAKA MJINI SASA NI MPAKA VIJIJINI
NAWATAKIENI WOTE MEMA...

8 comments:

Fadhy Mtanga said...

Nimeipenda ghorofa hiyo!

Yasinta Ngonyani said...

Mtani Fadhy! Hata mimi tena mno...Karibu sana maana uliadimika kweli:-)

Simon Kitururu said...

Sina uhakika na uwezo wake wa kuhimili tetemeko la ardhi au tu bonge la mvua la upepo lakini!

Yasinta Ngonyani said...

Hapo sasa! ila kwa mbali inaonekana iko imara!

Ester Ulaya said...

kitu cha gorofa, nani alisema gorofa hadi tofali la cement....nimeipenda hii

ray njau said...

Huu ni ubunifu mahiri lakini huenda usiwe ni makini.

Sara Chitunda said...

Hongera sana dada yetu leo nimefurahi sana. nimefurahia hiyo ghorofa ya kijijini umeipata wapi? Ndo leo ninaona safi sana

Ahmad nammnje said...

Du nimeona nahofia uimara