Nadhani wengi mnakumbuka picha yangu ya suti na wengi mkatoa maoni kuwa mimi na Simon tumefanana na leo katika kutembea tembea nimekutana na picha hizo kama mfanananisho..ni hapa nimezipata NURU
HIZI PICHA NIMEWAWEKA WAMEVAA SUTI NI KWAMABA DADA YASINTA ALIZIWEKA WATU WAKAMWAMBIA KAFANANA NA SIMON,,,ONE LOVE!!
YASINTA NGOYANI AMBAYE ANAISHI SWEDEN ANAENDESHA BLOG INITWA RUHUWIKO.BLOGSPOT.COM..,BLOG YAKE INAHUSIKA SANA KUHUSU MAISHA NA MAFANIKIO NA HUWA ANAANDIKA VITU VIZURI SANA KUHUSIA MAISHA,IF YOU NEED SOMETHING DEEP TO READ ABOUT LIFE DO VISIT HER BLOG CAUSE I DO!!
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI NJEMA SANA NA PIA SABASABA NJEMA KWA WOTE!!!
11 comments:
mie nasubiria kwa hamu komenti ya kitururu
Kadoda na Kadala mpo juu!
Ngoja nami nitafute suti, kwani mmenitenga Kachiki.
Kaka John! tusubiri tuone atasemaje...:-)
Kachiki! nasubiri kwa hamu kweli harikisha basi na wala hatujakutenga.
Siku hizi Kitururu hana mengi zaidi ya kuguna tu, hata hiyo nisiusemee moyo.. Nami namsubiri.
Ila mmependeza sana wandugu.
Nimemuuliza Baba kuhusu kama alikuwa mtundu enzi hizo matokeo yake yakawa ni Yasinta. Ila anadai a Gentleman does not kiss and tell!:-(
Mija! Ahsante
Simon! Ulikuwa hujiamini mpaka ukamuuliza baba? Lakini jamani duniani si wawili wawili:-)..Pia nisemi kuwa wewe kweli ni mtu wa suti unapendaeza sana.
Aaah wapi! Apendezaye ni weye Kadala binti Ngonyani!
Basi niseme kama alivyosema Mija "Ila mmependeza sana wandugu".
Simon&Yasinta;
Daima meno ya mbwa yanauma lakini hayaumani na simtofahamu za kindugu zinaanzishwa na wanandugu na muafaka maridhawa hupatikana kupitia wanandugu wenyewe.
Kadoda na Kadala daima mtaendelea kusafiri kwenye jehazi moja ndani ya ziwa nyasa.
@Simon & Yasinta;
Hakika nyote ni wanazuoni mahiri na makini katika tasnia hii ya kuhabarisha jamii kupitia habari za ubunifu na zenye mvuto wa namna ya kipekee kwa jamii yetu.
[Tumesoma hatukujua sana,tumejifunza na hakika tumefahamu].
@Simon & Yasinta;
Pokeeni salamu zangu za upendo mchangamfu na kuhanikizwa na shangwe,cherekochereko,vifijo na nderemo!!!
Post a Comment