Monday, July 23, 2012

PICHA YA MWEZI:- KUJIFUNZA MAPISHI (KUJIPIKILISHA)!!

Picha hii inanikumbusha mbali sana, jinsi ya kujifunza kupika MAPISHI. Eee bwana weee basi hapo ndiyo hapo hapo pa  kujifunza maisha baba na mama...Je wewe msomaji uliwahi kucheza mchezo huu?.

6 comments:

Ester Ulaya said...

jamani jamani kujipikilisha huku....mabaki ya mapishi home kama nyanya na vitunguu ndo tulikuwa twavitumia, tunasigina matembele kwenye maji ndo yanakuwa mafuta...umenikumbusha kule kule kwenyewe leo hiii ni picha ya mwezi duh

Yasinta Ngonyani said...

Ester Ahsante ngoja basi iwe kweli picha ya mwezi maana bado siku chache tu mwezi unaisha....picha imenikumbusha jinsi mama alivyokuwa analalamika chumvi inaisha na pia nilikuwa mwizi wa unga...na mabaki ya mchele yaani UTOTO jamani...

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Habari yako Yasinta!
Asabte nimepokea salaam zako za pole kutoka kaka Melkiory MATIYA
Namshukuru Mungu naendelea vema,soon nitarejea kwenye majuku ya kawaida

ray njau said...

Kujipikilisha,sema tena,kujipilikilisha,sema tena,kujipikilisha,sawasawa kabisa;kujipikilisha ni sehemu muhimu sana katika michezo ya mabinti zetu.

Anonymous said...

Madangi!

Shaziry Nambombe said...

SAFI SANA DADA YANGU NAKUKUBALI KWA YOTE