Friday, July 13, 2012

TASWIRA YA MJI WA NJOMBE:- HAPA ILIKUWA MWAKA JANA...

Picha imepigwa nikiwa nimesimama "mtaa" uitwao KIHESA maana Kihesa ipo juu kidogo na ni karibu na Njombe girls kama sikosei....

7 comments:

Ester Ulaya said...

Asante kwa taswira hii mdada

emu-three said...

Ipo powa. Tupo pamoja ndugu wangu!

Yasinta Ngonyani said...

Ester!tupo pamoja...

emu3! yaani imetulia pamoja sana.

ray njau said...

Asante sana kwa kuendelea kutuhabarisha kupitia picha kutoka Tanzania.

Anonymous said...

Kihesa ipo jirani na Njombe Boys'Sec.School.
Mnara unaoonekana ni wa Kanisa Katoliki Jimbo la Njombe

Yasinta Ngonyani said...

Ray! ahsante na wewe!!

Usiye na jina ahsante kwa kunisahihisha kumbe ni boys...

Nancy Mitikisiko Salamba (MITISA) said...

Niliwahi kuishi huko. Pengine nitakwenda mwezi wa nane tena...