Sunday, July 22, 2012

NAPENDA KUWATAKIENI JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGUNI WOTE!!

Nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda, kuniongoza, kunifanya nipate chakula, na kuniepesha na yasiyo mema. Nakutumaini wewe Mungu wangu , eh Mungu, wewe ni mwamba imara katika maisha yangu ...... Pia napenda kuwaombea familia, ndugu, wazazi/walezi, marafiki, majirani, wafanyakazi wenzangu pia hata madui zangu. Mwenyezi Mungu na atushushie wote baraka na upendo pia amani ...AMINA. . NA UJUMBE WA LEO NI:- SISI SOTE NI NDUGU,WATOTO WA BABA MMOJA. 
Labda tumalizie jumapili na mwimbo huu wa Bony Mwaitege SISI SOTE.. 

JUMAPILI NJEMA SANA!!!!!

4 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Ameeen!J'2 njema kwakom na familia yote!!!!!!!!

Mary Damian said...

ubarikiwe mpenzi, j2 njema kwako pia, asante kwa maneno mazuri na wimbo.

ray njau said...

Mema yako yametufikia na wema wako udumu daima.

Yasinta Ngonyani said...

Rachel aka Kachiki, Ray na Dada Mary ahsanteni sana kwa kuwa nami katika Jumapili hii pia wengine mliopita hapa Mungu awabariki.