Tuesday, July 31, 2012

MGOMO WA WALIMU NCHINI TANZANIA...BASI NGOJA MIMI NIWE MWALIMU

 Mwanafunzi anapoamua kuchukua nafasi ya ualimu. Hakika hapa ndipo inapoonekana walimu ni watu/walezi muhimu sana....
...Walimu wamegome je sisi wanafunzi tufanyeje?? Kumbukeni kuwa sisi tuna haki ya kupata ELIMU.

5 comments:

Simon Kitururu said...

Mmmmh!:-(

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Huyo mtoto ameonyesha njia. Ana akili kuliko watawala wetu wanaosomesha watoto wao nje wakaharibu nyenzo hii muhimu katika maisha.Ajabu wao walisoma bure na kula bure hadi sasa lakini wanataka kuwauzia wengine elimu mfu waliyoihujumu kwa ujinga na upogo na upofu wao

Unknown said...

Sijui migomo itaisha lini hapa tanzania jamani?
mwachen dogo aendelee kuwakumbushia wenzake yaliyopita

Interestedtips said...

hahaha mweh

ray njau said...

Je tuamini kuwa bila mikikimiki ya migomo hakuna maisha na mafanikio?