Wapendwa ndugu zanguni kwa kweli inabidi tukumbushane daima maana naona watu wameanza kusahau ...ila Dada Rachel na kaka Sam mmepata hapo kwenye jawabu la Ngoma na kaka Sam hapo kwenye jawabu la Nanasi ...jaribuni tena mshindi zawadi nono imeandaliwa:-)
Haya majibu yake ni haya:- 1. Moshi 2. Mboga 3. Ngoma 4. sungizi 5. Nanasi. Nadhani siku nyingine mtaweza tu labda nifanye hii kila wiki kuchemsha bongo kiduchu:-)
40 comments:
Vitendawili vigumu kuliko mawe!Hapa nimeshindwa nami nakupa mji nenda Songea.
Nimekipenda kitendawili: "Ninapompiga mwanangu watu hucheza..................."
Sijui maana ya kitendawili.
Nafurahia lakini ukweli ndani yake kwamba labda kila unapompiga mwanao maadui zako hufurahia ujinga wako.
Ukweli ni kwamba ziko namna nyingi za kumlea mwanao kwa nidhamu bila kumpiga.
duh....nimepita kapa maana nikitoa majibu watu wanaweza kuvunjika mbavu...sasa sijui utawalipia gharama za kwenda huko India!!!
Hahhahahahhaa kaka Manyanya umeniacha hoiiiiii,jibu NGOMAAAA, Nipe thawadi dada Yasinta!!!!!Mbarikiwe wooote!
Majibu- 1 jibulake ni mwanga.
- 2 ushanga
- 3 ngoma
-4 matandu/ukoko
-5 nanasi
kaka s
Nadhani kuna haja ya kukumbushana zaidi, Yasinta viongeze..
Kaka Manyanya kula tano kwa tafsiri...
Kaka Sam duh! Yaani umezipatia zote!!
Wapendwa ndugu zanguni kwa kweli inabidi tukumbushane daima maana naona watu wameanza kusahau ...ila Dada Rachel na kaka Sam mmepata hapo kwenye jawabu la Ngoma na kaka Sam hapo kwenye jawabu la Nanasi ...jaribuni tena mshindi zawadi nono imeandaliwa:-)
Naona ni afadhali nitoe majibu au je kuna mtu anataka kujaribu? Maana naona kama vitendewili vilikuwa vigumu kweli au?
Haya majibu yake ni haya:-
1. Moshi
2. Mboga
3. Ngoma
4. sungizi
5. Nanasi.
Nadhani siku nyingine mtaweza tu labda nifanye hii kila wiki kuchemsha bongo kiduchu:-)
Weka vitendawili vingine naomba
1. Moshi
2. Boga
3. Ngoma
4. Usingizi
5. Nanasi
Mwanangu akiwa na wenzake hatambuliki
Naomba mnisaidie hiki kitendawili Maiti anasema lakini walombeba wako kimya
Hii leo imenisaidia mtoto wangu wa primary school kupata majawabu ya vitendawili amepatiwa Kama kazi ya nyumbani....asanteni.
Chungu na mafiga
Sijui "nimpigano mwanangu watu hucheza"--------------
Nina mwanangu ukimpa chakula Amalia ukimnyima halii
Nyota
kitendawili isemayo ubwabwa wa mwana ni mtamu
sijui jibu lake
Kitendawili ukiona njigi utathani njege na ukiona njege utathani njigi
Nina mwanangu nikimpa chakula analia nikimnyima chakula halii jibu nini
Usingizi
Pooo mbili zavuka
Gari
Poo mbili zavuka -macho
Jibu lake sikujui naomba nipewe jibu
Ngoma
Nisaidie vitendawili hivi1, hesabu yake haina faida
2, maji ya kisima changu hayanyweki
Naomba jibu la kitendawili hiki nina mwanangu nikimpa chakula angalia nikimnyima chakula halii
Nina swali, sijui kitendawili ya kurunzi
Ukimgusa mwanangu mimi hucheka
Nina mtoto wangu nikimpa chakula analia
Nisaidien ich kitendawili maji ya kisima changu hayanyweki jibu lake
Redio
redio
Nikimpiga mwanangu nalia mwenyewe jibu lake nn jamani
Nikimpiga mwanangu naliq mwenyewe jibu Lake ni kitunguu
Ngoma
Naomba jibu la kitendawili
Nimelinda miezi na miaka ila sina mshahara jibu lake ni?
Post a Comment