Sunday, January 29, 2012

SWALI LA JUMAPILI YA LEO:- Msamaa ni nini?


Nisamehe

Je utaratibu sahihi wa kumsamehe /kusamehewa kwa mtu aliyekosa ni upi?
1. Mtu aombae msamaha kwanza/atubu ndipo asamehewe?
2. Asamehewe hata pasipo kuomba msamaha au?
3. Vyote viwili ni sawa?


2 comments:

SIMON KITURURU said...

Hakuna kitu Msamaa! Na kama mtu anaamini kuna kusamehewa yabidi ajue maaa na ya KOSA na ni kwanini kosa lachukuliwa kama kasoro kwa binadamu ajulikanaye sio malaika!:-(

SIMON KITURURU said...

Ni mtazamo wangu tu katika Swala! Jumapili Njema Mwanawane!