Sunday, January 8, 2012

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA NDUGU ZANGU!!


SIKU ZINAKIMBIA KWELI LEO TAYARI NI JUMAPILI YA PILI KWA MWAKA HUU....KILA LA KHERI AU KAMA WIMBO USEMAVYO SONGA MBELE......

7 comments:

Swahili na Waswahili said...

Ahsante sana da'Yasinta, iwe njema kwenu pia,Hakika Songa mbele,Utukufu tumpe yeye aliye juu!!!!!!!Ameen.Baraka kwenu wooooteeee.

sam mbogo said...

Haya, mdada Yasinta songa mbele. kawimbo kazuri. jumapili njema na wewe. siku zina kwenda kweli sasa hivi utaambiwa tumefika mwezi wa pili,tayari kwa siku ya wapendanao.
ila msi okoke kuweni wacha mungu tu,maana dada wa swahili na waswahili umeshuka/unashuka injili mpaka una tisha ubarikiwe sana.
kaka s

Yasinta Ngonyani said...

Rachel! nashukuru na ninaamini jumapili yak imekuwa njema pia...

Kaka Sam! Nataka nawe pia usonge mbele...Hivi kuna wanaochukiana?
Na kaka Sam mmmhhh naache maswali mengi. Mbarikiwe sana wote mtakaopita hapa.

Swahili na Waswahili said...

Hahahahah Kaka Sam mwana wa Mbogo!!!Ameen nanyi Mbarikiwe sana na Familia.@da'Yasinta..............Chuki/Roho mbaya ni Ugonjwa tuu,Ukiomba/tukiomba Mungu Watapona/tutapona,Mungu yu mwema sana.Mbarikiwe sana wooooteee.Songa mbeleee usirudi nyumaaa!!

Mija Shija Sayi said...

Jumapili njema kwa wote wajameni.

Nelson said...

Hello my dear friend ! Thank you for stopping by! Happy and gorgeous new week to you. Greetings from Rio de Janeiro/Brasil.

Happy New Year!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni wote na naamini mmekuwa na jumapili njema.