Friday, January 20, 2012

PICHA ZILIZOCHAGULIWA NA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO KUWA PICHA ZA WIKI!!

Nadhani hapa ni maandalizi....
Na hapa naona safari inaanza . Raha jipe mwenyewe:-) au nisema fanya vitu ambavyo hujafanya kabla muda haujakukimbia.
NAPENDA KUWATAKIENI WOTE MTAOPITA HAPA MWISHO WA JUMA MWEMA!!!!.

10 comments:

isaackin said...

ha ha haa,mzee wa mawazo naona uko loliondo ya huko

ray njau said...

Hapa nimepita kwa ajili ya kumsalimia mwenye kibaraza chake na wote. Kwenu nyote nasema:WIKIENDI NJEMA ILIYOSHEHENI RAHA ZOTE.

Anonymous said...

hivi huyo mnyama anaitwaje maana anapembe kama mchongoma

Swahili na Waswahili said...

Tehtehteh da'Yasinta ahsante sana yaaaani ni picha za wiki hii,kaka wa mimi na mimi nataka nifaidi hivyo je ni nini nifanye na lini, duh kimistari!!!!Uwe na wakati mwema da'Yasinta na wooote!!!

SIMON KITURURU said...

DUH!:-)

Huyu Mnyama kwa kiswahili simjui jina lakini! Kwa kihehe ni Reindeer.

Kitu kinifanyacho nihisi ni aina tu ya Swala ila wa kaskazinin ya DUNIA kwa asili ingawa nasikia hata kusini ya DUNIA wako sikuhizi kisa WANORWAY waliwapeleka huko!

SIMON KITURURU said...

Samahani niliruka kipengele!
@Isaackin:Loliondo hii BABU hakuwepo lakini:-)
@Rachel: Ntakupeleka siku moja ila tu jua si maajabu baridi ikiwa -40 mitaaa hiyo.

Na wikiendi njema YAsinta na Wadau wote wa kijiwe hiki!

emu-three said...

Na wewe pia ndugu yangu ,twipo pamoja!

EDNA said...

Nawe pia mdada.

Swahili na Waswahili said...

Ahsante kama utanipeleka kaka wa mimi.Tehtehteh uyo mnyama kwa KIHEHE'' TUU NDIYO UNAMFAHAMU TEHTEHTEH!!!!!!!!!!!UBARIKIWE SANAAAA

SIMON KITURURU said...

Pamoja sana Rachel! Na sitanii kuhusu kukupeleka kaskazini ya dunia!

Halafu:
Mbona unakicheka kihehe changu?:-)