Monday, January 23, 2012

TUANZE JUMATUTA KIHIVI:-JE? NI PICHA GANI AMBAYO IMEVUNJA REKODI MWAKA 2011 KATIKA BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO?

Ni ombi kutoka kwa dada Mija:-"Ombi..tuongezee ile juu kwenye page yako ya blogu, ulovaa tisheti ya njano, sketi nyeupe na mkanda wa kipepeo.."


mwaka 1992 Wilima (Matetere) MadabaPicha hii nilipiga mwaka 2008 mwezi wa sitaNa hii nilipiga mwa jana 2011 mwezi wa kumi....
...............hii pia mwaka jana mwezi wa kumi na mbili kijapani:-)Hii ni ya mwaka huu 4/1 2012
16 comments:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

zote...weka vigezo vya kila picha

ISSACK CHE JIAH said...

Hongera sana mimi nianze na picha ya kwanza uliopiga mwaka 2008 hii inaonyesha upo hasa kinyumbani na umeweka heshima hasa ya kiafrica naipenda hii iwe ni picha ya mwaka 2011 haina mpinzani labda ndugu yangu mfalme mrope mpe tano mdogo wako mtani wako bado mbichi huyu kwani anaweza kufika miaka 50 ijayo ya huru .mimi binafsi nasema hii imeonyesha ualisia wa kwetu
mimi kaka yako nakupa tano
CHE JIAH

Markus Mpangala said...

afadhali Chacha umesema, nakuunga mkono. ila mie sitaki aweke vigezo maana picha zote tamu

Mija Shija Sayi said...
This comment has been removed by the author.
Mija Shija Sayi said...
This comment has been removed by the author.
EDNA said...

Msema ukweli ni mpenzi wa mungu,zote ni nzuri ila hiyo ya kwanza mimi huwa naipenda sana,Unaokeana kama kasichana ka miaka 18 lol...

Mija Shija Sayi said...

Asante sana Da'Yasinta kwa kuiongeza hiyo picha, mimi naipenda sana hiyo maana ulikuwa unajiremba ile mbaya... Jamani sipati picha walivyokuwa wakikukoma.. Wanao wanasemaje juu ya picha hiyo?

Mija Shija Sayi said...

Wajameni mnisamehe nimedelete comment kwa bahati mbaya, nilikuwa naondoa moja zikaondoka zote.

Mashikolo Mageni.

sam mbogo said...

hii ya chini ndo kunoga.kaka s.

ray njau said...

Harakati za maisha na mafanikio ni safari ndefu na usione vyaelea vimeundwa.Libarikiwe titi ulilonyonya na mikono salama iliyokulea.

chib said...

Ya 1992

ISSACK CHE JIAH said...

DADA VIPI,MBONA UMEEKAA KIMYA HUJATUJIBU AU HUJAPATA JIBU MPAKA LEO TUENDELEE KUTOA MAONI WENGI WAPE FANYA HESABU KILA MTU ANA MAONI YAKE UMEYULIA KAMA MAJI YA MTUNGI PICHA YA KWANZA YA KUNYUMBA UMEVAA HASA KITZ
CHE JIAH

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii kuwashukuruni wote mliopita hapa na kuacha mchango wenu..huwa naheshimu kila neno liandikwalo nanyi AHSANTENI. Kusema kweli sina kigezo..mtanisamehe...na ni ruksa kuendelea kutoa maoni.

Swahili na Waswahili said...

Duuhh wiki hii nimekuwa nyuma sana,yaani nimelala doloo,bithe mingiii,yaani mwanakwetu zote ziko bombi sana ila hii ya mwisho duuh Jicho dada kama wataka kulala vile yaani inaniuaaaaaaa!!!Mbarikiwe sana sana waungwana!!

SIMON KITURURU said...

Zote!

Ausal said...

Mi Yasinta nimeipenda sana hyo ya 2008 japo zote ni nzuri ni mtazamo wangu tu.