Sunday, January 22, 2012

JUMAPILI NJEMA WAPENDWA!!


Napenda kuwatakieni wote mtakaopita hapa JUMAPILI njema sana . Nineona niwatakieni jumapili hii kwa wimbo huu ingawa sielewi nini kinasemwa ila nimeupenda tu...naamini wanaimba kumsifu Mungu.....

6 comments:

SIMON KITURURU said...

Jumapili njema mtoto mzuri Yasinta!

sam mbogo said...

muziki mzuri, sauti zinapendeza. asante kwa wimbo.kaka s

Baraka Chibiriti said...

Asante sana nawe pia Dada Yasinta na Familia yako yote J2 njema!

Swahili na Waswahili said...

J'pili iwe njema kwako na Familia pia,Wimbo unavutia sana sana!!!!

ray njau said...

Jumapili njema kwa ndugu,jamaa na marafiki.

chib said...
This comment has been removed by the author.