Ahsante da'Yasinta kwa kutupeleka Njombe,wanaNjombe hilo jiko nimelikubali!
MIMI NAPENDA SANA UFUNDI NA MAARIFA....HIVYO NAWAPA HONGERA SANA KWA UBUNIFU HUU.
Ubinifu ni mzuri sana, na ndio maendeleo, au vipi, shule sio lazima kukaa kwenye madawati
Hii ndiyo maana ya rasilimali watu na maendeleo yao."TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".Karibuni Njombe Tanzania.
siyo siri nimeipenda sana system hii.Ile ya mexco pia ni kiboko itabidi niwafikirie wazazi wangu kijijini.Asante sana.
Safi sana. Wanashughulikia suala la ajira, halafu wanatumia malighafi inayopatikana katika mazingira yao, na mradi wao hauharibu mazingira, na ni endelevu, Yaani safi sana. Nitawaweka kwenye blogu yangu pia, kuwapiga jeki kimatangazo.
Post a Comment
6 comments:
Ahsante da'Yasinta kwa kutupeleka Njombe,wanaNjombe hilo jiko nimelikubali!
MIMI NAPENDA SANA UFUNDI NA MAARIFA....HIVYO NAWAPA HONGERA SANA KWA UBUNIFU HUU.
Ubinifu ni mzuri sana, na ndio maendeleo, au vipi, shule sio lazima kukaa kwenye madawati
Hii ndiyo maana ya rasilimali watu na maendeleo yao.
"TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".
Karibuni Njombe Tanzania.
siyo siri nimeipenda sana system hii.Ile ya mexco pia ni kiboko itabidi niwafikirie wazazi wangu kijijini.
Asante sana.