Friday, January 20, 2012

EBU ANGALIA TEKNOLOGIA HII!!...NJOMBE......


Binafsi nimeipenda ...KILA LA KHERI KWA WOTE !!

6 comments:

Rachel Siwa said...

Ahsante da'Yasinta kwa kutupeleka Njombe,wanaNjombe hilo jiko nimelikubali!

Baraka Chibiriti said...

MIMI NAPENDA SANA UFUNDI NA MAARIFA....HIVYO NAWAPA HONGERA SANA KWA UBUNIFU HUU.

emuthree said...

Ubinifu ni mzuri sana, na ndio maendeleo, au vipi, shule sio lazima kukaa kwenye madawati

ray njau said...

Hii ndiyo maana ya rasilimali watu na maendeleo yao.
"TUMESOMA HATUKUJUA,TUMEJIFUNZA TUMEFAHAMU".
Karibuni Njombe Tanzania.

Anonymous said...

siyo siri nimeipenda sana system hii.Ile ya mexco pia ni kiboko itabidi niwafikirie wazazi wangu kijijini.
Asante sana.

Mbele said...

Safi sana. Wanashughulikia suala la ajira, halafu wanatumia malighafi inayopatikana katika mazingira yao, na mradi wao hauharibu mazingira, na ni endelevu, Yaani safi sana. Nitawaweka kwenye blogu yangu pia, kuwapiga jeki kimatangazo.