Friday, January 27, 2012

UJUMBE WA IJUMAA YA LEO:- KUJIJUA!!!

Leo nimeamka nikiwaza neno hili: Kujijua: Ni mojawapo ya stadi kuu za maisha ni kwamba mtu unapaswa kufahamu jinsi ya kutumia akili yako ili kunufaisha maisha yako. Mahali popote pale ulipo. Uwe mtendaji, siyo mtendewa, ili ujielewe zaidi, ujiamini zaidi, ufanye mambo makubwa na udhibiti mwelekeo wa maisha yako.....unapaswa kujijua!!!!!!!
NAWATAKIENI MWISHO WA JUMA MWEMA WOTE NA WOTE MNAPENDWA SANA!!!!

4 comments:

sam mbogo said...

Nimuhimu sana kujijua. (mwanzoni sikusoma vizuri nilidhani umeandika kujiua).kaka s.

EDNA said...

Umenena mdada,wikiendi njema.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Sam! naona uanze kutumia miwani kama hutumii:-)

Edna! Ahsante Nawe uwe na mwisho mwema wa juma. Nimeipenda picha hii mpya :-)

Swahili na Waswahili said...

Maneno hayo dada,uwe na wakati mwema na Familia pia!!na Woootee katika kibaraza hiki.