Tuesday, April 28, 2009

MAVAZI NA MITINDO YA KISASA=MAISHA

Hili gauni nimelipenda sana na nalitafuta
Na hii begi ndo basi tu naipenda sana

mavazi haya yamenipendeza sana, huu ndio utamaduni mzuri



8 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Si unajua kuwa NABII hathaminiki nyumbani? Tazama thamani yake nyumbani (sio kwenye maduka ya kitalii) kisha uangalie yauzwavyo kwa watalii na nje ya nchi.
NI MAZURI, YANAPENDEZA lakini hayathaminiki nyumbani. Hii INASIKITISHA

Yasinta Ngonyani said...

Mzee wa Changamoto Najua na nasikitika sana kuona watu "sisi" waafrika tunakimbilia kununua hizo nguo nyingine na kuacha utamaduni wetu wa asili ambao ni mzuri kabisa. Kwa kweli INASIKITISHA SANA.

Anonymous said...

muundo mzuri, ila mhh kwako Yasinta hakafai, kanaishia karibu na nanihii, juu kabisa ya mapaja.

Anonymous said...

Kha!!!! wewe usie na jina usimdanganye mwenzio bwana,mwanamke min babu nani kakwambia Yasinta hana usafiri?kumbuka mavazi yetu asili ni vibwaya ambavyo ni vimin.

mumyhery said...

mwenzangu hayo mavazi yametulia ila basi tu

NURU THE LIGHT said...

yasinta yako sasa i mean hiyo nguo imetoka iko HM njoo stockholm tena maskini cjui kama utaipata maana watu wamekimbilia hiyo mathew williamson collection since imetoka..prova på deras hemsidan kanske..lycka till

Yasinta Ngonyani said...

Nuru jag har provat finns inte ocha i Stockhol har inte tid jobba mycket du vet

Anonymous said...

Mwanamitindo huyo hafai kwa jamii yetu nguo fupi mno ukichungulia unaweza ku........